VITENDAWILI NA MAJIBU YAKE

By , in Fasihi Simulizi on .

Tegua Vitendawili

1. Wanapanda mlima kwa makoti meusi na meupe ___
2. Wanao wakati wao wa kuringa, nao ni weupe kama barafu ___
3. Wanastarehe darini ___
4. Wanatembea lakini hawatembelewi ____
5. Watoto wa mtu mmoja hulala chini kila mwaka ____
6. Watoto wangu wana vilemba, aso kilemba si mwanangu ____

Majibu:
1. Vipepeo
2. Nyota
3. Panya
4. Macho
5. Maboga
6. Fuu

 

Facebook Comments
Recommended articles