TUNAHAMIA HUKU !!!!

By , in Zote on .

JINSI YA KUJISAJILI KATIKA FORAMU YA JIFUNZE KISWAHILI

1. Fungua kiunganishi hiki www.jifinzekiswahili.co.tz

2. Bofya palipoandikwa Register

3. Jaza jina tumizi (Username)

4. Ingiza baruapepe halisi

5. Jaza nywila yako (isipungue tarakimu 6)

6. Bofya palipoandikwa Register

7. Fungua baruapepe yako utakuta kiunganishi (link) bofya hicho kiunganishi kwa ajili ya kukamilisha usajili wako

Kwa msaada zaidi:

info@jifunzekiswahili.co.tz

Recommended articles
error: Jisajili kupata uhuru zaidi !!