
SHAIRI – MAPISHI YA KISWAHILI
BOFYA HAPA CHINI KUSOMA >>>> MAPISHI YA KISWAHILI
BOFYA HAPA CHINI KUSOMA >>>> MAPISHI YA KISWAHILI
NA TUZISOME HERUFI A-ndika herufi A, ikufae maishani, E-ndelea kutambua, E herufi makini, I-ndiyo hufwatia, mpango wa shairini, O-na nivyo…
BOFYA HAPA CHINI KUFUNGUA >>>>> JINSI YA KUJIBU SWALI LA TASWIRA KIDATO CHA 3&4
BOFYA HAPA CHINI KUFUNGUA >>>> HAZINA YA USHAIRI.
BOFYA HAPA CHINI KULISOMA >>>>>> Sauti ya Dhiki
KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA USHAIRI DUNIANI, WATAMBUE WASHAIRI NGULI WA TANZANIA Uwepo wa siku ya ushairi duniani, Machi 21, UNESCO…
Simba awapo nyikani – yeye si wakutishika, Huwataka hayawani – mbuaji kwenye machaka, Si viumbe vya bandani – vimtie kushutuka,…
🍒🍒”NYANYA SHUKA BEI”🍒🍒 Nyanya umeleta shida, kipi tulichokukwaza Kila soko we ndo mada, watu wakuzungumza Umetoweka kwa muda, na bei…
UPAMBAUKAO HUTWA (KWAHERINI!) Upambaukao hutwa, na kutwapo huwa giza Mtana hupetwapetwa, ukanyang’anywa mwangaza Nyoyo zikawa kukotwa, japo mwezi waangaza…
MAMA CHURA NA NG’OMBE Amkeni amkeni, ndugu ninawaamsha, Kwa utulivu kaeni, nataka kuwakumbusha, Naomba sikilizeni, kisa cha kuhuzunisha, Kisa cha…