
NAHAU 86 NA MAANA ZAKE
BOFYA HAPA CHINI KUFUNGUA >>>>>> NAHAU 86 NA MAA
BOFYA HAPA CHINI KUFUNGUA >>>>>> NAHAU 86 NA MAA
BOFYA HAPA CHINI KUFUNGUA >>>>> VITENDAWILI
Vitendawili huwa na mwanzo maalum : Kitendawili tega Hupitishwa baina ya watu wawili anayetega na anayetegua Vitendawili huwa na muundo…
a) Vitendawili sahili ni vifupi na huwa na na muundo mwepesi kueleweka. K.v. b) Vitendawili mkufu huwa na vipande vinavyofuatana…
Vitendawili huburudisha kwani hutegwa kwa njia ya uchangamfu na ushindani. Huwaleta watu pamoja (huunganisha jamii) kwani vinapotegwa watu hukusanyika pamoja….
Mwenye pupa hadiriki kula tamu Mtu mwenye haraka asiye na uvumilivu huwa hafanikiwi Mwenye tumbo ni tumbole, angafunga mkaja Mkaja…
Mizungu ni kauli zenye picha na mafumbo zinazoonesha ukinzani wa fikra au tukio. Mara nyingi mizungu hutumika kwenye hadithi za soga na kwenye mivigha. Mifano ya mizungu ni: 1. Miti yote nitapanda ila mtalawanda unanishinda – maana…
NAHAU ZA KISWAHILI NA MAANA ZAKE [TRANSLATED SWAHILI SAYINGS] Imenukuliwa kutoka Gazeti la HABARILEO, Tanzania la Alhamisi, Januari 8 –…
UKIWA NA MSONGO WA MAWAZO TAFUTA KITUO CHA DALADALA TU,UTAFURAHI NA ROHO YAKO AISEEE!!! UTAWASIKIA AU KUSOMA NYUMA YA GARI:…
Chemsha Bongo Maswali ambayo huhitaji mtu kutumia akili na ujuzi kuyajibu. Mafumbo ni kauli zenye maana iliyofichika na hujumuisha vitendawili…