
OSW 221 SARUFI NA SINTAKSIA NUKUU
BOFYA HAPA CHINI KUFUNGUA >>>>>>> OSW-221-SARUFI-NA-SINTAKSIA-NUKUU-2018
BOFYA HAPA CHINI KUFUNGUA >>>>>>> OSW-221-SARUFI-NA-SINTAKSIA-NUKUU-2018
Dhana ya kategoria imejadiliwa kwa namna tofauti tofauti. Khamis na Kiango (2002) wameigawa kategoria katika mitazamo miwili wanamapokeo na wanausasa….
Katika utangulizi wa kitabu ‘A Handbook of the Swahili Language’, Askofu Edward Steere alijadili suala la tahajia au hati za…
Mitindo mbalimbali pia inaweza kutofautishwa kwa kutumia kiwango cha fonetiki na othografia. Othografia ina maana ya tahajia iliyokubaliwa rasmi kuwa…
Lugha ya Kiswahili ni lugha ambishi kimofolojia. Thibitisha hoja hii kwa kutumia mifano. Lugha ambishi, ni lugha ambazo maneno yake…
“Kwa hakika hakuna tofauti kati ya vivumishi na vikumushi.” Vikumushi na vivumishi ni dhana mbili ambazo zimekuwa zikileta mkanganyiko mkubwa…
Sarufi mapokeo Kwa mujibu wa Khamisi na Kiango (2002), sarufi mapokeo ni sarufi ya kale, wataalamu wanaohusishwa na mkabala huu walijitokeza kuanzia karne ya 5 Kabla…
BOFYA HAPA CHINI KUFUNGUA >>>>>> MUUNDO_WA_VITENZI_VIVUMISHI _VIBAINISHI_N
Dhana ya mofu Mgullu, (1999) anasema kuwa dhana za mofu, alomofimu na mofimu ndizo ambazo hutumiwa sana kwa uchambuzi wa…
Katika mofolojia ya Kiswahili nomino zinaundwaje? Fafanua kwa majibu yako kwa mifano MAJIBU Kuna taratibu mbalimbali zinazotumika katika kuunda…