
Making Africa Legible Kiswahili Arabic
Ingawa matini haya yapo kwa lugha ya Kiingereza nimeona yafaa sana kwa kila mwenye kutaka kufahamu hatua iliyopigwa katika kukikuza…
Ingawa matini haya yapo kwa lugha ya Kiingereza nimeona yafaa sana kwa kila mwenye kutaka kufahamu hatua iliyopigwa katika kukikuza…
Je, mazingira yameathiri utunzi wa Sauti ya Dhiki kwa namna gani? Mwandishi: ABDILATIF ABDALLA Mhakiki: Prof. Mtarajiwa Utangulizi Nitaanza kwa…
JACKSON MAKWETA: KIONGOZI WA KWANZA KUSHAURI MATUMIZI YA KISWAHILI KATIKA NGAZI ZOTE ZA ELIMU > Mwaka 1982, Tume ya Makweta…
BOFYA HAPA CHINI KUFUNGUA >>>>> Kuhusu MWANAMAJUMUI
BOFYA HAPA CHINI KUFUNGUA >>>> 4.0_MATHIAS_MNYAMPALA_KAMA_MUUMINI
ACHA KUPENDA VYA BURE !!!! (Pamoja na urefu wake nakusihi ujipe muda kusoma mpaka mwisho) Makala aliyoandika Paul Mashauri siku…
Kingwana ni lahaja ya Kiswahili inayozungumzwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, hasa upande wa mashariki.Chanzo chaKingwana ni Kiswahili cha wafanyabiashara na askari kutoka pwani ya Bahari Hindi (leo nchini Tanzania) walioingia katika Katanga kwa biashara ya watumwa na pembe za…
2.0 Utangulizi Sehemu hii inashughulika na kueleza nadharia za kijamii ambazo hutumika katika kuelewa uhusiano mbalimbali katika jamii. Nadharia hizi…
Nimepokea simu. Simu ya maana. Adam Shafi yuko Majuu. Kaja kikazi Uholanzi. Yeye mtaalamu wa lugha ya Kiswahili. Baada ya…
MAELEZO Utangulizi Madhumuni ya sehemu hii ni kumsaidia msomaji na mtafiti wa Utanzu wa Badithi fupi na fasihi. Sehemu hii…