SIFA ZA RIWAYA PENDWA

By , in Kidato V-VI Riwaya on . Tagged width:
  1. Huwa na matumizi makubwa ya utendaji na taharuki
  2. hutumia mtindo rahisi na lugha rahisi
  3. dhamira zake hupendwa na watu wengi, hasa vijana
  4. wahusika wakuu hukwezwa sana kimatendo na sifa zao
  5. hakuna mpangilio mzuri wa visa na matukio
  6. hutumia mwendelezo wa wahusika yaani huwa na sifa ya kutumia wahusika wale wale katika mfululizo wa vitabu kadhaa vinavyotolewa na mwandishi.
  7. huiga mawazo na matendo kutoka fasihi pendwa za nchi zilizoendelea
  8. huenzi jinsi ya kike kama chombo cha anasa na uhalifu
  9. mandhari huundwa kwa namna ya kipekee sana
error: Jisajili kupata uhuru zaidi !!