SIFA ZA KIIMA

By , in Kidato I-IV Kidato V-VI on .
  • Kiima ni sehemu ya mwanzo katika tungo.
  • Kiima ni kile tunachoelezewa habari zake.
  • Kiima kinaundwa na neno au kundi la maneno.
  • Kama huundwa na neno, basi neno hilo laweza kuwa nomino au kiwakilishi.
  • Kama huundwa na kundi la maneno, basi kundi hilo laweza kuwa kirai au kishazi.
Recommended articles