SIFA KUU ZA SENTENSI YA KISWAHILI

SIFA KUU ZA SENTENSI YA KISWAHILI

  1. Sentensi lazima itoe taarifa kamili yaani ijitosheleze kimaana
  2. Sentensi lazima iwe na muundo wa kiima na kiarifu.
  3. Huweza kuwa na muundo wa kikundi tenzi peke yake (KT)
  4. Huweza kuwa na viambishi vinavyobadilisha hadhi ya vitenzi. Kwa mfano utumiaji wa viambishi vya o-rejeshi: [po, o, ye, ko, vyo, cho, mo, yo, lo, n.k.]
  5. Sentensi huwa na upatanisho wa kisarufi. Katika sentensi, kirai nomino ndicho kinachodhibiti na kutawala elementi au aina nyingine za maneno.
  6. Sentensi huonesha hali mbalimbali. Kwa mfano hali ya maelezo (taarifa), maulizo (swali), kushangaa, ombi, na kuamuru (amri).
  7. Sentensi inaweza kuundwa kwa neno moja au zaidi ya neno moja yenye maana kamilifu.
  8. Zipo aina kuu nne (4) za sentensi yaani: sentensi sahili, shurutia, ambatano na
Facebook Comments
Donate
Recommended articles