Sera ya Faragha

Sera ya Faragha

Sera hii inaongoza jinsi jifunzekiswahili.co.tz inavyokusanya, kutumia na kulinda taarifa za watumiaji (kila “mtumiaji”) wa tovuti ya //jifunzekiswahili.co.tz/ (“tovuti”). Sera hii ya faragha ni kwa ajili ya tovuti na bidhaa na huduma zote zinazotolewa na jifunzekiswahili.co.tz

Taarifa binafsi za utambulishi

Tunaweza kukusanya taarifa za utambulishi kutoka kwa watumiaji kupitia njia kadhaa kama, mtu akitembelea tovuti yetu akajiandikisha kupata huduma zetu, au akajaza fomu yoyote kuhusu bidhaa au huduma tunazotoa kwenye tovuti yetu. Watumiaji wanaweza kuombwa namba ya simu, jina, na anuani ya barua pepe. Watumiaji pia wanaweza kutembelea tovuti yetu bila kutambulika. Tunakusanya taarifa tu ambazo mtumiaji ametoa kwa hiyari. Watumiaji wanaweza kukataa kutoa taarifa zao, japokuwa hii inaweza kuwazuia kutumia baadhi ya huduma.

Taarifa zisizo za utambulishi wa kibinafsi

Tunaweza kukusanya taarifa hizi kila mtumaiji anapotembelea tovuti yetu. Mifano ya taarifa hizi ni aina ya kisakuzi, aina ya kompyuta na taarifa za vifaa zaidi kama jinsi alivyojiunganisha na huduma yetu, anapataje mtandao wa kuperuzi na kadhalika.

Kuki za kisakuzi

Tovuti yetu inaweza kutumia “kuki” kuongeza muonekano mzuri kwa mtumiaji. Kompyuta za watumiaji zinaweza kutunza kuki hizi kwa kumbukumbu na kufahamu taarifa kuhusiana nazo. Mtumiaji anaweza kukataza kompyuta kutumia kuki, au kotoa taarifa wakati kuki zinatumwa. Jua kwamba baadhi ya sehemu za tovuti hazitafanya kazi vizuri bila kuki.

Jinsi tunavyotumia taarifa tunazozikusanya

jifunzekiswahili.co.tz inaweza kukusanya taarifa zako na kuzitumia kwa ajili ya:

Kuboresha huduma kwa wateja

Taarifa mnazotupatia zinatusaidia kutoa majibu na kuwasaidia na mahitaji yenu kwa ubora zaidi

Kutuma barua pepe

Tunaweza kutumia anuani za barua pepe kutuma taarifa za bidhaa zilizochapishwa, pia zinaweza kutumika kujibu masawali na mahitaji mengine. Kama mtumiaji ataamua kujiunga na orodha yetu ya barua pepe ataweza  kupokea taarifa za  mtandao wetu, mabadiliko, taarifa za bidhaa na huduma nyinginezo. Kama mtumiaji atataka kujitoa katika orodha, maelekezo ya jinsi ya kufanya hivyo yako chini kwenye kila barua pepe.

Jinsi tunavyolinda taarifa zako

Tunatumia njia sahihi za kukusanya, kutumia, na kulinda taarifa zako. Ulinzi dhidi ya kuona, kubadili au kusambaza taarifa zako au kuharibu taarifa zako, jina au nywila au kuonesha matumizi yako ya tovuti yetu.

Kugawa taarifa zako

Hatuuzi, hatuazimi au kabadilishana taarifa binafsi za mtumiaji. Tunaweza kugawa taarifa za kiujumla za demografia ya watumiaji wetu kwa watu tunaofanya nao biashra na wanaotutangazia biashara. Tunaweza kutumia huduma za makampuni mengine kutusaidia kuendesha biashara na shuguli za tovuti yetu kama kutuma majarada au maswali ya utafiti. Tutatoa taarifa zako kwa ajili ya kazi hizo tu ambazo utakuwa  umetoa ruhusa.-(We do not sell, trade, or rent Users personal identification information to others. We may share generic aggregated demographic information not linked to any personal identification information regarding visitors and users with our business partners, trusted affiliates and advertisers for the purposes outlined above. We may use third party service providers to help us operate our business and the Site or administer activities on our behalf, such as sending out newsletters or surveys. We may share your information with these third parties for those limited purposes provided that you have given us your permission.)

Mabadiliko ya sera hii ya faragha

jifunzekiswahili.co.tz inaweza kubadili au koungezea hii sera muda wowote. Tutakapofanya hivyo, tutapitia na kuonesha tarehe ya mabadiliko chini ya ukurasa huu. Tunawahamasisha watumiaji kuangalia kama kuna mabadiliko kwenye ukurasa huu ili wajue jinsi tunavyosaidia kulinda taarifa zao. Umeona na kukubali kuwa ni jukumu lako kupitia sera hii mara kwa mara ili kujua mabadiliko yoyote.

Kukubali masharti haya

Kwa kutembelea na kutumia tovuti hii ya jifunzekiswahili.co.tz unaashiria kukubali sera hii. Kama haukubaliani nayo, tafadhali usitumie tovuti yetu. Ukiendelea kutumia baada ya mabadiliko ya sera hii, utakuwa umekubaliana na mabadiliko hayo.

Wasiliana nasi

Kama una maswali kuhusu sera hii ya faragha, utendaji wa tovuti hii au utumiaji wako wa tovuti hii, tafadhali wasiliana nasi kupitia:

MWALIMU WA KISWAHILI

Dar es Salaam, Tanzania

Barua Pepe: mwalimwakiswahili@gmail.com

 

Simu: +255 717104507/+255766104507

Mwalimu wa Kiswahili © 2018 – 2021

error: Jisajili kupata uhuru zaidi !!