NAFASI YA KISWAHILI KATIKA NCHI ZA SADC

By , in Kavazi on . Tagged width:

Maendeleo ya lugha ya Kiswahili Afrika na duniani kwa sasa ni makubwa sana kiasi cha kutosha kujivunia. Mtazame na kumsikiliza hapa Prof. Aldin Mutembei akifafanua nafasi ya Kiswahili katika nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC).

error: Jisajili kupata uhuru zaidi !!