NADHARIA YA SOSHOLOJIA “SOCIOLOGICAL THEOY”

By , in Shahada on . Tagged width:
Nadhari ya Sosholojia
(Sociological Theory)
Mihimili ya Nadharia hii
(a) Umahsusi na sio umajumui
  Ilikuwa mahususi zaidi kuliko nadharia
zilizotangulia: badala ya kujikita katika taaluma ya sanaa jadi kwa ujumla
(maumbile ya mwanadamu na utamaduni wa mwanadamu) kama walivyofanya wanadharia
wa zamani, nadharia ya usosholojia ilijikita katika jamii peke yake.
Hii ilikuwa
baada ya kugundua dosari zilizofanywa hapo kabla; dosari za kutoa matamko ya
juu juu na ya kijumla zaidi
·
Kauli hizo mara nyingi zilitupilia mbali
vipengele fulani vya maisha kmv lugha na mienendo mingine….. hakika
viliitofautisha jamii moja dhidi ya nyingine
·
Kwao,
tofauti zilizokuwepo baina ya jamii moja na nyingine zilikuwa na maana zaidi
kuliko kufanana kulikokuwepo
Kwa hiyo
wanasosholojia waliazimia kuchunguza kila jamii kwa wakati na nafasi yake, kwa
kurekodi kila kilichopatikana katika jamii husika (sanaa jadi yao).
Wataalamu
mbalimbali walioongoza jitihada hizi ni pamoja na hawa wafuatao
·
Bronislaw Malinowski na A.R.
Radcliffe-Brown
(Uingereza) hawa walichunguza jamii mbalimbali katika Pasifiki, na waliandika mengi
kuhusu jamii hizo. Jamii hizo ni pamoja na visiwa vya Trobriand na Andaman
mutawalia
·
Franz Boas (Marekani) huyu alichunguza jamii za wenyeji wa Marekani
Wapo pia
wataalamu wengi waliofanya utafiti wao, na kuandikia kuhusu jamii za Kiafrika
ambao ni pamoja na hawa wafuatao
i. E.E. Evans-Pritchard………Nuer (Sudani)
ii. Geoffrey Lienhardt……..Dinka (Sudani)
iii. William Boscom…….Yoruba (Nigeria)
iv. S.F. Nadel………..Nupe (Nigeria)
v. Marcel Griaule……….Dogon (Burkina Faso)
Ingawa hata kabla ya wataalamu hawa,
kulikwishakuwepo wataalamu wengine waliotafiti na kuandika kuhusu FS ya
kiafrika lakini wataalamu hao waliongozwa na mawazo ya kiubadilikaji taratibu
zaidi
(b) Mkazo katika Utendaji
-Tofauti na ilivyokuwa kwa wananadharia wa
nadharia zilizotangulia ambao hawaku…. “They were not interested in studying
the performers of oral tradition” wanasosholojia waliweka msisitizo katika
kuchunguza PERFORMERS/watendaji wa fani mbalimbali za FSKutokana
na msisitizo wao huu imebainika kuwa
·
Fanani
wa FSwanaujuzi na ustadi wa kiutendaji katika sanaa
husika (ubunifu wao ni mkubwa sana).Jambo hili… limetusogeza mbele
kidogo ktk kuielewa FS
·
Wanasosholojia
walidiriki na kuthubutu kudokeza kuhusu sifa za ndani za kimtindo katika FS ya
kiafrika
(c) Msisitizo juu ya dhima ya
Fasihi Simulizi katika jamii
·
Tofauti
na ilivyokuwa imedhaniwa hapo mwanzo kuwa FS ni mabaki tu ya zamani na kwamba
hayakuwa na umuhimu wowote katika maisha ya jamii katika zama za kisasa,
wanasosholojia waliamini kuwa uamilifu wa FS uko hai na haufi na kwamba
unabadilika kulingana na maendeleo ya jamii husika. Dhima hizo ni pamoja na DHIMA
ZA KIJAMII ZA FS…KWA MUJIBU WA WANASOSHOLOJIA
·
Fasihi
Simulizi ni kama Encyclopedia ya hekima za jamii husika :Hii ni kwa mujibu wa Bascom 1959 ambaye
alifanya utafiti katika Poetry of Divination katika jamii za Wayoruba wa
Nigeria
·
FS ni
nyenzo muafaka ya kurekodia hatua mbalimbali za maendeleo ya jamii husika.
Aylward Shorter 1969…..the tales of origin katika jamii ya Wakimbu Tanzania
·
FS inasaidia na imeendelea kusaidia
kuimarisha ‘authority of statement or a custom in situation kama vile katika
mahakama au contests for Chieftaincy. J.C. Messenger…..Anang of Nigeria 1958,
J.B. Christenseu……Fante of Ghana 1958. Hawa walichunguza Methali katika jamii
zilizotajwa
    CHANGAMOTO
ZAKE…….
Pamoja na uzuri
uliotajwa bado kuna changamoto kadhaa
·
Given
far less time to illuminating and analyzing the artistic properties of African
OL
·
They
have published tale, in flat, unimpressive prose,  eliminating
features of oral style (repetition and exclamation)
They have done few carefully analyses of
techniques of the original language that appealed to the audience of the tale
in the first place
·
The
circumstances surrounding the performance of the tale (ushiriki wa hadhira,
matumizi ya ala za muziki, nk) not reported
·
Hata
pale ambapo wamejaribu kuuleza vyema muktadha huu, umuhimu na nafasi yake
katika kufanikisha au kukwamisha ngano husika haujaelezwa
·
Ilikuwa
vigumu sana kwa kutumia mbinu zao kuona ni kwa vipi ngano kwa mfano inaweza
kuwa fasihi
·
Pia
kutokana na mbinu yao ya kusisitiza umuhimu wa FOLKLORE katika utamaduni wa
watu, wataalamu kmv BOSCOM NA BEN-AMOS walisisitiza kuwa Any judgement
of a folk text must be based on the views of the society from which the text
come”Wazo hili ni zuri sana lkn, ikiwa kazi za fs ya kiafrika zitaeleza mawazo
ya wageni na si ya wenyeji, kmv boscom na amos, ni kwa sababu sanaa hizo zina
sifa fulani fulani ambazo zinaenda na kueleza mambo fulani yaliyo mbali na
dhana ya uzuri kwa waafrika. Mazingira km haya yakitokea, ni jukumu la
mwandishi, ikiwa kweli wanaelewa vyema lugha husika, kufafanua sanaa husika na
sifa za sanaa hiyo ilimuradi wageni waikubali sanaa husika na waipokeeKwa
hiyo mkabala wa MUKTADHA WA KIJAMII waliokuwa nao wanasosholijia ulikuwa FINYU
SANA….. changamoto ya kiuhakiki ktk kazi za kifasihi
       HITIMISHO
Hata kabla ya wataalamu hawa kufanya
uchunguzi wa kisosholojia, walishakuwepo wataalamu wa mwanzo  ambao
walifanya uchunguzi wa kisosholojia.
·
Tofauti
kubwa ni kuwa wale wa mwanzo waliongozwa na mawazo ya kiuibukaji
·
Waliongozwa
na kuhamasishwa na ….kizazi cha Franzer.
·
Hawa
wa baadaye walijihusisha na kuhamasika zaidi na
HISTORIES OF THE CULTURES THEY STUDIED
·
Pia
waliongozwa na kuhamasishwa na mawazo ya Malinowski
·
Pia
hawa wa baadaye walitilia mkazo matumizi na uamilifu wa sanaa jadi za
kiafrika  katika jamii SOCIETAL FUNCTIONS OF OL
·
Hata
hivyo, bado wataalamu hawa hawakufanikiwa au hitimisho lao halikuendana na
tathimini ya karibu na kina kuhusu material walizozikusanya. Hii ni kwa sababu
hawakuwa na ujuzi wa kutosha katika lugha za jamii za kiafrika
error: Jisajili kupata uhuru zaidi !!