MUHTASARI WA KISWAHILI KWA ELIMU YA SEKONDARI KIDATO CHA V-VI 2010

By , in MUHTASARI on .

MUHTASARI WA KISWAHILI KWA ELIMU YA SEKONDARI

KIDATO CHA V-VI 2010

MUONGOZO WA KIDATO CHA TANO NA SITA

KIDATO CHA 5

S/N MADA KUU MADA NDOGO
1 MAENDELEO YA KISWAHILI  (a) Asili ya Kiswahili

(b)Chimbuko la Kiswahili

(c)Usanifishaji wa Kiswahili

(d)Changamoto za kuenea kwa Kiswahili Afrika Mashariki kabla       ya Uhuru.

2 MATUMIZI YA SARUFI (a)     Matawi ya sarufi

(b)     Matumizi ya mofimu

(c)     Kauli za Kiswahili

(d)     Ngeli za Nomino

(e)     Matumizi ya O-rejeshi

(f)     Makosa ya kisarufi na

kimantiki katika lugha

3 UFAHAMU NA UFUPISHO (a)     Ufahamu wa kusikiliza na ufupisho

(b)     Ufahamu wa kusoma na ufupisho

4 UTUNGAJI (a)     Uandishi wa insha

(b)     Uandishi wa barua na kadi za mialiko

(c)     Uandishi wa kazi za kifasihi

(d)     Usimulizi

5 UTUMIZI WA LUGHA (a)     Rejesta

(b)     Misimu

(c)     Umahiri wa lugha

(d)     Utata katika matumizi ya lugha

6 KUTAFSIRI NA KUKALIMANI

(a)     Tafsiri

(b)     Ukalimani

KIDATO CHA 6

S/N MADA KUU MADA NDOGO
1 MAENDELEO YA KISWAHILI (a)     Ukuaji na ueneaji wa Kiswahili nchini Tanzania baada ya uhuru

(b)     Ukuaji na ueneaji wa Kiswahili nchini Kenya na Uganda baada ya uhuru

(c)     Ukuaji na ueneaji wa Kiswahili duniani.

2 MATUMIZI YA SARUFI (a)     Ufafanuzi wa tungo

(b)     Uchanganuzi wa sentensi

(c)     Uundaji wa maneno

3 KUTUNGA HABARI (a)     Kuandika habari

(b)     Usimulizi

(c)     Kutunga kazi za kifasihi

4 KUTAFSIRI NA KUKALIMANI

(a)     Kutafsiri

(b)     Kukalimani

Facebook Comments
Recommended articles