MUHTASARI WA KIDATO CHA PILI

By , in MUHTASARI on .
 1. Uundaji Wa Maneno
  1. Kutumia Uambishaji
   1. Bainisha mofimu katika maneno
   2. Bainisha dhima za mofimu
  2. Kutumia Mnyumbuliko
   1. Elezea mazingira yanayosababisha mahitaji ya maneno mapya
   2. Fafanua dhima ya uambishaji na mnyambulikoa wa maneno
   3. Unda maneno mbalimbali kwa kutumia mnyambuliko
   4. Tumia maneno ya mnyambuliko katika miktadha mablimbali
 2. Matumizi Ya Lugha Katika Miktadha Mablimbali
  1. Rejesta
   1. Wasiliana kwa kutumia rejesta
   2. Elezea dhima za rejesta
  2. Misimu
   1. Wasiliana kwa kutumia misimu
  3. Lugha ya Kimazungumzo na ya Kimaandishi
   1. Bainisha sifa ya lugha ya kimazungumzo
   2. Elezea dhima ya lugha ya kimazungumzo na ya kimaandishi
   3. Tumia lugha ya kimazungumzo na ya kimaandishi katika miktadha sahihi
  4. Matamshi na Lafudhi ya Kiswahili
   1. Elezea lafudhi mbalimbali za Kiswahili
  5. Utata katika Mawasiliano
   1. Elezea Sababu za Utata
 3. Uhakiki Wa Kazi Za Fasihi Simulizi
  1. Uhakiki wa Ushairi
   1. Elezea vipengele vya fani na maudhui katika kuhakiki ushairi
  2. Uhakiki wa Maigizo
   1. Elezea vipengele vya fani na maudhui katika kuhakiki maigizo
 4. Uhifadhi Wa Kazi Za Fasihi Simulizi
  1. Njia za kuhifadhi Fasihi Simulizi
   1. Bainisha njia za kuhifadhi fasihi simulizi
   2. Elezea ubora na udhaifu wa kila njia ya kuhifadhi kazi za fasihi simulizi
  2. Umuhimu wa kuhifadhi kazi za Fasihi Simulizi
   1. Elezea faida ya kuhifadhi fasihi simulizi
 5. Utungaji Wa Kazi Za Kifasihi
  1. Mashairi
   1. Fafanua kanuni za utungaji wa mashairi
   2. Igiza ngonjera
  2. Maigizo
   1. Elezea kanuni za utungaji wa maigizo
 6. Uandishi
  1. Insha za Hoja
   1. Elezea muundo wa insha za hoja
  2. Barua Rasmi
   1. Elezea dhima ya barua rasmi
   2. Elezea muundo wa barua rasmi
  3. Simu
   1. Elezea dhima ya simu ya maandishi
   2. Andika simu za maandishi kwa kuzingatia muundo na taratibu za uandishi
  4. Kadi za Mialiko
   1. Fafanua muundo wa kadi ya mialiko
  5. Uandishi wa Dayalojia
   1. Elezea dhana ya dayolojia
 7. Usimulizi
  1. Usimuliaji wa Matukio
   1. Fafanua njia za usimulizi wa matukio
 8. Ufahamu
  1. Ufahamu wa Kusikiliza
   1. Jibu maswali ya ufahamu kutokana na habari uliyoisikiliza
   2. Fupisha kwa mdomo habari uliyoisikiliza
  2. Ufahamu wa Kusoma
   1. Soma kwa sauti kwa kuzingatia lafudhi ya kiswahili
   2. Jibu maswali kutokana na habari uliyoisoma
   3. Fupisha habari uliyoisoma
  3. Kusoma kwa Burudani
   1. Mambo ya kuzingatia katika usomaji kwa burudani
  4. Matumizi ya Kamusi
   1. Elezea jinsi ya kutumia kamusi
Facebook Comments
Recommended articles