MASWALI NA MAJIBU

BOFYA HAPA CHINI KUPAKUA >>>>>>>
- Kazi yoyote ya fasihi hujengwa na nguzo mbili. Thibitisha kauli hii kwa kufafanua nguzo hizo katika vipengele vyake.
- Mwanamke ni nguzo na msingi wa jamii yake. Thibitisha kwa kutumia tamthiliya mbili.
- ‘Waandishi wa riwaya ni walezi wa jamii zao.’ Tumia riwaya mbili ulizosoma kuthibitisha.
RIWAYA
- TAKADINI
- WATOTO WA MAMA N’TILIE
- JOKA LA MDIMU
TAMTHILIYA
- ORODHA
- KILIO CHETU
- NGOSWE – PENZI KITOVU CHA UZEEMBE