MAANA YA MIZUNGU

By , in Fasihi Simulizi on . Tagged width:

Mizungu ni kauli zenye picha na mafumbo zinazoonesha ukinzani wa fikra au tukio.

Mara nyingi mizungu hutumika kwenye hadithi za soga na kwenye mivigha.

Mifano ya mizungu ni:

  • 1. Miti yote nitapanda ila mtalawanda unanishinda – maana yake mpapai.
  • 2. Embe limeiva nyumbani ila nashindwa kulila – maana yake dada au ndugu yangu wa kike.