KAMUSI YA KIHEHE – KISWAHILI

By , in Kamusi on . Tagged width: ,

1. Kamwene – Habari za leo
2. Hweuli- ni salam inayotumika mara ya pili kwa mtu ambaye tayri mmeishasalimiana
3. Unoge- Hujambo
4. Mchepenge-Msichana mzuri
5. Sandee (Ndiilumba) – Asante
6. Inguluvi – Mwenyezi Mungu
7. Kutuwonela – Kutuonea
8. Sambi(Inzanagifu) -Dhambi
9. Lukani – Jambo fulani
10.mgata-mvivu
11.sulunuke-telemka
12.kivembo-msiba
13.fwili-nywele
14.lileme-tumbo/mimba
15.mgoda-dawa
16.mkila-mkia
17.mtwe-kichwa
18.mwani-pwani
19.kidada-kiburi au maringo.
20.gida-ng’ombe mkubwa wa kulima(aliyehasiwa)
21.ng’ambakwa-dume la ngombe lisilohasiwa
22.kidunda-mlima
23. Mgoda-Dawa
24. Mgunda-Shamba
25.Mbetuli- wote
26.mwimise-Msimamishe
27.yalafile- Ameona
28.Yetwihuma- Ndio tunatoka (tukiwa zaidi ya mmoja)
29.mbitu- Pombe ya mahindi iliyolala (ambayo jana ilitakiawa inywewe lakini haikunywewa)
30.inyalutanana- kitu chenye asili ya uwanda wa juu
31.lwipepite-
32.Ukahagwe – Ulichagua
33.Avangi kwimba – Wengine wanasoma
34.gameme – Ujae pomoni. Kujaa mpaka juu
35.mkisande – kwenye kihenge labda cha mahindi,ulezi n.k
36.ndidudila ngusa – Nachechemea nakuja
37.litawa – Jina
38.sunganyame – Nitahama mfano makazi
39.amahavi – Wachawi
40.magayawema – Hawana wema
41.mwifunyage – Mtambikage
42. ndihega – Natoka au nakwenda (Sign out)
43.sivagula – Hawatanunua
44.twitang’ana – Tunakutana
45. Kitekenya-Funza
46.mwigati-ndani
47. Nyela ndisaka mgoda gwa lwendo,kuna mhinza kumuwenda sana nekenimulongele lakini akabihe
48. Bela – Ndugu
49. Umuvango -Mwanzo
50. Lusiku- Siku nyingine tena
51. Pambele- baadaye
52. Muyago- Mwenzako
53. Muyaangu- Mwenzangu
54. Uvangu- Mke/mpenzi wangu
55. Mwusafi – Malaya/fataki
56. Uwusafi- umalaya

Kuvalila- Kuhesabu
57. yimwi- moja
58. Sivili – Mbili
59. Sidatu- Tatu
60. Sitayi- Nne
61. Sihaanu – tano
62. Simutanda- sita
62. Simufung’ati- saba
63. Simunana- Nane
64. Sinyigonza- Tisa
65. LIchumi- Kumi
66. Ligana- Mia
67. Imbilima – Elfu

68. KUUTALO- MBELE,
69. MWAANDI-MWANZO,
70. KUPUKA-KUPEKECHA,
71. UWUFUULA-UCHI,
72. MUVINA-MKUBWA,
73. KUHEGELELA-KUSOGEA,
74. KUKELA-KUFURAHIA,
75. LUWUUNGO-HARUSI,
76. KITEFU-KIBURI KILICHOKITHIRI,
77. KWITENDE- CHINI YA KITU (KIFASIHI-SEHEMU ZA SIRI)
78. LISWII- SAUTI
79. LIHIGO-JIBU,
80. MTELA-MWIKO WA KUPIKIA,
81. KWIMBA-KUSOMA,
82. KUGAVA-KUUMBA
83. NGULUVI YITAANGE-MUNGU ASAIDIE,
84. IMIGO-KAZI,
85. MALIGO- MATUSI,
86. KUPILIMA-KUZUNGUKA,
87. ING’ALA-BARIDI,
88. LISUVA-JUA, PAKILO-USIKU,
89. PAMUNYI-MCHANA,
90. PAMILAU-ASUBUHI,
91. MILAU-KESHO,
92. PAUCHA-KESHOKUTWA,
93. PALULA-MTONDO,
94. NENG’UNI/NAMUNYI-LEO.

“Mnaonaje kama tuandike ikamusi yetu ivela na kisungu-kihehe, then kisw-kihehe & vise versa” mutange va mwa dada tuongeze maneno  zaidi.

error: Jisajili kupata uhuru zaidi !!