JINSI YA KUJIBU SWALI LA USANIFU WA MAANDISHI

By , in MITIHANI V-VI on . Tagged width:

KUMEKUWA NA UTATA MIONGONI MWA WANAFUNZI WA WALIMU JUU YA NAMNA GANI HASA NI SAHIHI YA KUJIBU SWALI LA USANIFU WA MAANDISHI. HAPA NIMEKUWEKEA SAMPULI YA MAJIBU YA MWANAFUNZI ALIYEJIBU VIZURI SWALI HILO TOKA KITABU CHA NECTA, NAAMINI SASA HUTAPATA MKANGANYIKO TENA.