Jifunze majira ya mwaka (Kiswahili kwa wageni)

By , in KISWAHILI KWA WAGENI on . Tagged width:

Seasons
Seasons [nyakati; majira; misimu]
A). Seasons
vuli; maanguko; mvua chache ; mchoo [fall; autumn]
kipupwe; baridi kali; baridi sana [winter]
masika; mvua nyingi [spring]
kiangazi; joto [summer]
Question Formation
Mifano:
1. Huu ni wakati/msimu/majira gani?
[Which season is this?]
a). Huu ni wakati wa/ msimu wa/ majira ya kipupwe.
[This is the winter season.]
b). Huu ni kipupwe.
[This is winter.]
c). Ni kupupwe.
[It is winter.]
2. Wewe unapenda wakati/majira/msimu gani?
[Which season do you like?]
a). Ninapenda wakati wa/ majira ya/ msimu wa vuli/masika/kipupwe.
[I like the fall/spring/winter season.]
b). Ninapenda vuli.
[I like fall.]
3. Wewe hufanya nini wakati/majira/msimu wa joto?
[What do you do in the summer?]
a). Mimi hucheza/huimba/hulala/husoma/husafiri/huenda filamuni/hupumzika
wakati/majira/msimu wa kiangazi.
[I play/sing/sleep/read/travel/go to movies/ rest in the summer.]
b). Mimi hucheza/huimba/hulala/ husoma/husafiri.
[I play/sing/sleep/read/travel.]
c). Mimi hupanda maua/hutembelea marafiki na familia.
[I plant flowers and go on walks with friends and family.]
d). Mimi hupumzika na husoma katika shule ya kiangazi/joto.
[I rest and I study in summer school.]
4. Wewe hupendi wakati/majira/msimu gani?
[Which season do you dislike?]
Mimi sipendi kipupwe.
[I dislike winter.]
5. Kaka/Mama/Baba/Dada/Rafiki yako hapendi
wakati/majira/msimu gani?
[Which season does your brother/mother/father/sister/friend dislike?]
Kaka/Mama/Baba/Dada/Rafiki yangu hapendi vuli.
[My brother/mother/father/sister/friend dislikes fall.]
B). Types of wind [Aina za pepo]
kusi kaskazi
[south monsoon wind]
[north east monsoon wind]
matlai [easterly wind/ morning wind]
yahom [westerly wind]
Mazungumzo [dialogue]
Maria: Hali ya hewa/anga Afrika ya Mashariki namna gani? (Hali ya hewa/anga Marekani
namna gani?)
Juma: Wakati wa kiangazi kuna joto sana/jingi.
Maria: Na masika je?
Juma: Majira ya/ Wakati wa/ Msimu wa masika kuna mvua nyingi, radi, upepo, theluji,
barafu, dhoruba na umande mwingi.
Maria: Je, unapenda majira ya/ wakati wa/ msimu wa kipupwe?
Juma: Hapana/La sipendi majira ya/ wakati wa/ msimu wa kipupwe.
Maria: Wewe unapenda msimu gani?
Juma: Mimi ninapenda majira ya/ wakati wa/ msimu wa kiangazi/joto.
Maria: Wewe hufanya nini majira ya/ wakati wa/ msimu wa kiangazi/joto?
Juma: Mimi hucheza/ huimba/ hulala/ husoma/ husafiri/ hupanda maua/ hutembelea
marafiki na familia/ hupumzika na husoma katika shule ya kiangazi.

error: Jisajili kupata uhuru zaidi !!