ISTILAHI ZA UTAWALA NA MENEJIMENTI (ADMINISTRATION AND MANAGEMENT)

By , in Sarufi na Utumizi Wa Lugha on .

Jifunze istilahi za fani mbalimbali kwa Kiingereza na Kiswahili

S/N KIINGEREZA KISWAHILI
1 Advisory -a ushauri
2 Reform Adilika/adilisha
3 Directive (s) Agizo (ma-)
4 Overtime Ajari
5 Archaeology Akiolojia
6 Essence Asili
7 Found Asisi
8 Outstanding Bainifu
9 Debate Dahili
10 Medical officer/Practitioner Daktari
11 Chauffeur/Driver (s) Dereva (ma)
12 Essence Dhati
13 Against Dhidi ya
14 Role Dhima
15 Limited Liability (LTD) Dhima yenye kikomo
16 Education & Training Elimu na Mafunzo
17 Extensivr Education Elimu Tanzu
18 Furniture Fanicha
19 Workmen’s Compensation Fidia ya Wafanyakazi
20 Sick Sheet Fomu ya matibabu
21 Medical Facilities Fursa za Matibabu
22 Gift Hiba
23 Archives Hifadhi ya nyaraka
24 Prehistory Historiakale
25 Academic Programs Department Idara ya Programu za Taaluma
26 Supplies Department Idara ya ugavi
27 Administration Department Idara ya Utawala
28 Economy Ikitisadi
29 Provided that….. Ili mradi….
30 Approved Imekubaliwa/iliyoidhinishwa/iliyothibitishwa
31 Provided that….. Isipokuwa kwamba….
32 Title and Commencement Jina na Mwanzo wa kutumika
33 Responsibility Jukumu
34 Offer of appointment Kadimisho la uteuzi
35 Calendar of work Kalenda ya kazi
36 Education Committee Kamati ya Elimu
37 Management Committee Kamati ya Menejimenti
38 Regulation (s) Kanuni
39 General Staff Rules Kanuni Kuu za Watumishi
40 Advance of salary/salary advance Karadha ya Mshahara
41 Reprimand (s) Karipio
42 Appeal Kata rufaa
43 Essence Kiini
44 Resist Kinza
45 Monopolise Kiritimba
46 Domicile Kitende
47 Industry Kiwanda (vi-)
48 Standard Kiwango
49 Misconduct Kosa
50 Gross misconduct Kosa kubwa
51 Crane (s) Kreni
52 Agree Kubali/kubaliana
53 Withholding Kushikilia
54 Suspension Kusimamishwa (kazi). Masomo
55 Retirement Kustaafu
56 Political Stability Kutengemaa kisiasa
57 Leave Likizo
58 Convalescent leave Likizo ya afua/ahueni
59 Sick leave Likizo ya ugonjwa
60 Compassionate leave Likizo ya uraufu
61 Ethics Maadili
62 Standing orders Maagizo rasmi
63 Specifications Maainisho/maelekezo maalumu
64 Standing Instructions Maelekezo rasmi
65 Utility Mafia
66 Retirement benefits Mafao ya kustaafu
67 Insurance benefits Mafao/Maslahi ya bima
68 Press and Radio Magazeti na Redio
69 Agreement Makubaliano
70 Archaeology Mambo ya kale
71 Mandate Mamlaka
72 Advantage (s) Manufaa
73 Special time off Mapumziko/likizo maalumu
74 Reference Marejeo
75 Permanent terms Masharti ya kudumu
76 Temporary terms Masharti ya muda
77 Terms of service Masharti ya utumishi
78 Domicile Maskani
79 Retirement benefits Maslahi ya kustaafu
80 Imprest Masurufu
81 Medical and Dental Treatment Matibabu ya magonjwa na meno
82 Abusive and insulting languae Matusi na lugha safihi
83 Communication Mawasiliano
84 Debate Mdahalo
85 Referee Mdhamini
86 Supplies manager Meneja ugavi
87 Miscellaneous Mengineyo
88 Supply Mgao
89 Contract of service Mkataba wa utumishi
90 Loan (s) Mkopo (mi-)
91 Tutor (s) Mkufunzi (wa-)
92 Chief  Tutor Mkufunzi Mkuu
93 Senior Mkufunzi Mwandamizi
94 Principal Tutor Mkufunzi Mwandamizi Mkuu
95 Wing Tutor Mkufunzi Tanzu
96 Director of Studies and Programmes Mkurugenzi wa Mafunzo na Programu
97 Plan of work Mpango wa kazi
98 Negotiator (s) Mpatanishi (wa-)
99 Telephone Operator Mpokea simu
100 Generation Superintendent Mrakibu Uzalishaji
101 Zonal Generation Superintendent Mrakibu Uzalishaji wa Kanda
102 Co-ordinator of Co-operative Mratibu wa Ushirika
103 Referee Mrejewa
104 Scholarship Msaada wa masomo
105 Slary Mshahara
106 Station Supervisor Msimamizi wa kituo
107 Conciliator (s) Msuluhishi (wa-)
108 Specialist Mtaalamu
109 Probationary period Muda wa majaribio
110 Reformer Mwadilishi
111 Employee (s) Mwajiriwa (wa-)
112 Founder (s) Mwasisi (wa-)
113 Practitioner Mweledi
114 Consultant (s) Mwelekezi (wa-)
115 Inaugurator (s) Mzinduzi (wa-)
116 Role Nafasi
117 Vacancy Nafasi (ya kazi, masomo)
118 Essence Nafsi
119 Overseas Ng’ambo
120 Labour force Nguvukazi
121 Discipline Nidhamu
122 Archive Nyaraka
123 Increment (s) Nyongeza
124 Housing Nyumba
125 Application (s) Ombi (ma-)
126 Warning (s) Onyo (ma-)
127 Operator Operetta
128 Radio operator Operetta wa Redio
129 Overtime Ovataimu
130 Negotiate Patina
131 Allowance (s) Posho (ya/za)
132 Kilometer/mileage allowance Posho ya kilometa/maili
133 Subsistence allowance Posho ya kujikimu
134 Entertainment allowance Posho ya takrima
135 Acting allowance Posho ya ukaimu
136 Hospitality allowance Posho ya ukarimu
137 Disturbance allowance Posho ya usumbufu
138 Programme of work Program ya kazi
139 Radio Redio
140 Refer Rejea
141 Medical Report Ripoti ya Matibabu
142 Oral Report Ripoti ya mdomo
143 Appeal (s) Rufani
144 Hours of attendance Saa za kazi
145 Normal Working Hours Saa za kazi za kawaida
146 Travelling Safari
147 Furniture Samani
148 Standard Sanifu
149 Circular Sekula
150 Condition (s), Provision (s) Sharti (ma-)
151 Advise Shauri
152 Saving telegram Simu muhtasi
153 Secret Siri
154 Confidential Sitirifu
155 Conciliate Suluhisha
156 Switchboard Swichibodi
157 Industry Tasnia
158 Teleprinter Teleprinta
159 Perform Tenda
160 Market value Thamani ya soko
161 Gift Tunu
162 Termination Uachishaji/Uachishwaji
163 Mandate Udhamini
164 Price Control Udhibiti wa bei
165 Consultation Uelekezi
166 Supplies ugavi
167 Transfer Uhamisho
168 Zone (s) Ukanda (ka-)
169 Deferment Ukawilishaji/Ukawilishwaji
170 Resistance Ukinzani
171 Monopoly Ukiritimba
172 Promotion Ukuzaji
173 Promotion Upandaji cheo
174 Optimum Upeo
175 Opposition Upinzani
176 Bureaucracy Urasimu
177 Advice Ushauri
178 Supervision Usimamizi
179 Preliminary Utangulizi
180 Procedure of Sponsorship Utaratibu wa udhamini
181 Demand Utashi
182 Performance Utendaji/utenzi
183 Appointment Uteuzi
184 Nomination of Candidates Uteuzi wa waombaji
185 Political stability Uthabiti wa kisiasa
186 Confirmation Uthibitisho
187 Utility Utoshelevu
188 Utility Utumizi
189 Economy Uwekevu
190 Neglect of duty Uzembe
191 Inauguration Uzinduzi
192 Supplies Vifaa
193 Rates of overtime Viwango vya ajari/Ovataimu
194 Salary scales Viwango vya mishahara
195 Responsibility, role Wajibu
196 Circular (s) Waraka (nya-) mzunguko
197 Dependent children Watoto tegemezi
198 Present (s) Zawadi
199 Inaugurate Zindua

 

Chanzo: BAKITA, (2005) ISTILAHI ZA KISWAHILI. BAKITA. DSM

Facebook Comments
Recommended articles