FAIDA YA KUTUMIA KISWAHILI KWA MATAIFA YA AFRIKA

By , in Zote on . Tagged width:

1. Kusaidia kuleta
umoja wa bara zima.
2. Kudumisha utamaduni
wa Kiafrika kuliko kufuata kasumba.
3. Kufanya Waafrika
waamini zaidi mambo yao kuliko kutegemea tu ya kigeni.
4. Kurahisisha
upatikanaji wa ajira kwa watumiaji wa lugha hiyo hata nje ya            Afrika.
5. Kukuza sekta ya
utalii.