Aina za Vitendawili

a) Vitendawili sahili
ni vifupi na huwa na na muundo mwepesi kueleweka. K.v.
b) Vitendawili mkufu
huwa na vipande vinavyofuatana na kila kipande huwa na uhusiano na kipande kilichotangulia. Mfano “ nikisimama anasimama, nikiketi anaketi, nikiondoka huondoka pia”
c) Vitendawili vya tanakali
hutumia tanakali za sauti Mfano: Drrrrrrh mpaka ng’ambo “buibui”; huku ng’o na kule ng’o.
d) Vitendawili sambamba
huwa na maelezo marefu (kama hadithi fupi) halafu jibu lake huwa ni refu pia (kama mafumbo)